April 3, 2008

Jongweeeee

Ombaomba na visent alivyopata ktk mitaa ya Harare, JE HALI HII ITABADILIKA HATIMAYE KWA KWA KUBADILI UONGOZI? AU NDO ITAZIDI KUDIDIMIA?

KOMREDI MUGABE MAJI YA SHINGO

Habari tulizozipta toka Zimbabbwe zinasema kuwa Mzee Robert Mugabe ambaye amekuwa rais wa Zimbabwe kwa miaka mingi mno, anaweza kuwa ameshindwa vibaya sana katika uchaguzi wa Rais.

Mdau wa TBC

Mdau toka kwa Bro Tido anawapa hi wadau wooooote

Sakata la kugombea maiti, Waislamu kukata rufaa

Baadhi ya viongozi wa kiislamu waliokuwa hapo ambao mwanzo hawakujali kupigwa picha lakini wakageuka baada ya ukumu hii wamesema wanadhamilia kukata rufaa dhidi ya hukumu na ikibidi kuufukua mwili wa Marehemu Goliama.

Sakata la KUGOMBEA MAITI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni-Kinondoni leo imeamua mazishi ya mwili wa Marehemu Paulo Goliama aliyefariki wiki iliyopita yafanywe kwa usimamizi wa Mama Mzazi na Mke wa Marehemu na kwa dini ya Kikristo. Marehemu aliwai kubadili dini wakati wa uhai wake kuwa Mwislamu baada ya kupata mrembo wa kiarabu na baadaye kurudia tena ukristo.

Hii yasikitisha saaaaaaaana jamani

Sengerema District, Mwanza Region April 3rd 2008; Two camp caretakers from Nyanzaga Camp which is approximately 1km from Sota Village in Sengerema District have been arrested for allegedly forcing a 13 year old girl to have sex with a dog. The accussed Aniceth Ndege is a dog handler and Job Joas is a 'sungusungu' and a cook from Sota Village, both are caretakers of the Nyanzaga Exploration Camp which is owned by Barrick Exploration Africa Limited (BEAL).

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...