February 12, 2008
ANSWERS B C
Common Ground
We need to endeavor to find common ground with people. In 1 Corinthians 9:19-24, Paul says,
For though I am free from all men, I have made myself a servant to all, that I might win the more; and to the Jews I became as a Jew, that I might win Jews; to those who are under the law, as under the law, that I might win those who are under the law; to those who are without law, as without law (not being without law toward God, but under law toward Christ), that I might win those who are without law; to the weak I became as weak, that I might win the weak. I have become all things to all men, that I might by all means save some. Now this I do for the gospel’s sake, that I may be partaker of it with you. Do you not know that those who run in a race all run, but one receives the prize? Run in such a way that you may obtain it.
In this passage, Paul is talking about the way he ran—the method he used—to reach people for Christ. Verse 22 in The Living Bible puts it this way, Yes, I try to find common ground with everyone so that I might bring them to Christ.Paul didn’t run aimlessly. And like Paul, you have to find a point to relate to people so that you can build a bridge over which the gospel can come.
I encourage you to find a common area of interest, a common ground, to relate to people in order to share Christ with them.
BARAZA JIPYA KUAPISHWA KESHO SAA 7:30
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mawaziri na Naibu Mawaziri waliotangazwa leo Jumanne (12/02/2008) wataapishwa kesho saa 7.30 mchana katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chamwino, Dodoma.
Wageni wote waalikwa wanatakiwa kuwa wamekaa kwenye viti vyao saa 6.30 mchana.
Kurugenzi ya Mawasiliano
Ikulu,
Chamwino, Dodoma.
12/02/2008
Rais Jakaya Kikwete akitangaza baraza jipya la Mawaziri, ambapo wengi wameachwa na pia kuongeza sura mpya kadhaa,
HILI NDO BARAZA LENYEWE: ........................................
walioachwa ni pamoja na Zakia Meghji, Joseph Mungai, Kingunge Ngombale Mwilu, Dan Nsanzugwanko, Rita Mlaki, NK
WAPYA NI
Cptn George Mkuchika, Lucy Nkya, Balozi Kagasheki, Adam Malima, na Ezekiel Maige.
samahani kama kutakuwa na makosa hapa na pale.
Baraza.......Wengi watupwa nje
Baraza sasa kuwa na mawaziri 26 badala ya 29 na manaibu waziri 21 badala ya 31,
kwa hesabu za haraka haraka ni 47 badala ya 60 hivyo aoutomaticale 13 OUT.
WENGI WAACHWA
Baraza latangazwa
Rais anatangaza baraza muda huu
high lights
1. Muundo mpya, baraza lapunguzwa.
2. Nafasi zilizoachwa wazi kujazwa
1. Wizara ya Kingunge ya siasa na ustawi yaondolewa chini ya rais kwenda waziri mkuu.
2. Fedha na Mipango na uwezeshaji kuwa moja
3. Mambo ya ndani na usalama wa raia kuwa moja
4. Mambo yote ya elimu kuwa na wizara moja
Ikulu
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kutangaza Baraza la Mawaziri leo (12/02/2008) saa 9.00 alasiri katika ukumbi wa TAMISEMI, Dodoma, badala ya saa 4.00 asubuhi kama ilivyotangazwa awali.
Wahariri/Waandishi/Wapiga picha wawe wamewasili ukumbini saa 8.00 Mchana na wale wenye waandishi wao Dodoma wawaeleze vema ili wazingatie muda.
Ahsante na karibuni.
Kurugenzi ya Mawasiliano,
Ikulu, Chamwino
DODOMA.
12/02/2008
Kipanya Leo
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Prof Aloysius Mwessa Hnonoli ni Mbongo wa kwanza kuwa Mkurugenzi wa Muhimbili na Mkuu wa Chuo kikuu cha Tiba. Mstaafu huyu jana alitu...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Ukumbi huko nyuma ya Minara miwili ukiwa ni wa mviringo. Eneoe kubwa la chai na ukaguzi pamoja na usajili kwa waalikwa. Sehemu za waa...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
Dr H Mwakyembe akishushwa toka ktk ndege ya kukodi na kupelekwa moja kwa moja MOI kwa Matibabu zaidi, Dr Mwakyembe alipata ajali ya gari m...
-
Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...