August 6, 2008
PASCAL YUKO MOI
PASCAL MAYALA AMEHAMISHIWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KULE MOI,
PASCAL ALIPATA AJARI YA PIKIPIKI SIKU YA JUMAPILI HUKO DODOMA ALIPOENDA KULETA YANAYOJIRI KTK NANENANE.
KWANIABA YA WADAU WOTE WA GLOBU HII TWASEMA
GET WELL SOON.
KARIBU KATIKA FANI JK
WATU (VIONGOZI) WENGI UFIKILI SANA BAADA YA KUSTAAFU WATAFANYA NINI NA HASWA WALIOKATIKA MKATABA KAMA JK,
JK ORIGINO ALIAMUA KUWA MKULIMA BAADA YA KULITUMIKIA TAIFA ILI KWA KIPINDI KIREFU SANA, WENGINE WANAANZISHA NGOs NA WENGINE UENDA HAYA NDO MAZOEZI KUWA MARA UPANGAJI PALE MAGOGONI UTAKAPO KOMA BASI ATAKUWA PAPARAZI.
KWA SI TULIO KWENYE FANI TWASEMA KARIBU SANA MHE.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone:012- 342 4371/93 Fax: 012 – 430 43 83 E-mail: t anzania@cis.co.za ...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
Ukumbi huko nyuma ya Minara miwili ukiwa ni wa mviringo. Eneoe kubwa la chai na ukaguzi pamoja na usajili kwa waalikwa. Sehemu za waa...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...