September 10, 2008
ULINZI KWA MAJAJI WASTAAFU VIPI?
Jaji Mstaafu Robert Kisanga akionyesha tundu ktk fensi ambalo wakola walitengeza ili kuingia kwa nia ya kuiba RAV 4 yake ambapo hata hivyo hawakufanikiwa kwa mzee wa watu alistuka na kuwakulupua.
hii ni mara ya pili kwa Mhe Jaji kuvamiwa mara ya kwanza ilikuwa kwenye miaka ya tisini jamaa walikuja na siaraha lakini pia hawakufamikiwa kwani walidhibitiwa na askari polisi aliokuwa akimlinda.
Majaji kwa kawaida uwa na ulinzi wa polisi wanapokuwa bado ofisini lakini mara baada ya kustaafu ni UTAJIJU au na Lwako, jee ni sawa?
fikilia umesweka fisadi miaka 30 ndani na baada ya siku kadhaa unastaafu, je itakuwaje? patakalika hapo maana mafisadi twajua jinsi walivyo na vijisent vya kumwaga je si atawapa jamaa wakumalize?
Hofu "GHOROFA LIMEPINDA"
Leo hii ilikuwa ni kituko mtaa wa zanaki ambapo wakazi wa jiji walikusanyika ktk jengo moja la ghorofa 11 wakidai limepinda na kulalia lingine la ghorofa tatu jirani kabisa na jengo lililobomoka likiwa lajengwa hivi karibuni na kuua mmoja.
wengine wanadai si kweli bali wamezidiwa na swaumu tu.
tusubiri tuone.
Mambo ya ndoa
MAMBO YA MAHUSIANO KANTUMIA MDAU JUBE JE NIKWELI?
ANGALIA TOFAUTI YA MAJIBU UKISOMA TOKA CHINI KWENDA JUU.
Before marriage.....
- He: Yes. At last. It was so hard to wait.
- She: Do you want me to leave?
- He: No! Don't even think about it.
- She: Do you love me?
- He: Of course! Over and over!
- She: Have you ever cheated on me?
- He: No! Why are you even asking?
- She: Will you kiss me?
- He: Every chance I get.
- She: Will you hit me?
- He: Are you crazy! I'm not that kind of person!
- She: Can I trust you?
- He: Yes.
- She: Darling!
After marriage....
Simply read from bottom to topHalmashauri kuu ya CCM yaanza DOM
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
A very rare opportunity. With Outstanding Entrepreneur, Great Visionary, Motivational Speaker, Founder, Chairman and CEO of Edmark Inte...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
SAKATA LA RADAR BADO BICHI KABISA......... BAE in spotlight over Tanzania radar deal BAE Systems faces fresh controversy over foreign ar...