Waumini wa dini ya Kikristo wamejitokeza leo ktk viwanja vya Mnazi Mmoja kuombea Busara kwa viongozi ktk kufanya maamuzi juu ya saula la nchi kujiunga na Jumuiya yaKiislamu OIC na kuanzishwa kwa mahakama ya Kadhi.
November 9, 2008
NEC YA CCM YAENDELEA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyekiti wa wazee mkoa wa Dodoma Mzee Omar Sulieman mwenye umri wa miaka 102 wakati wazee wa mkoa huo walipokutana naye ikulu ndogo mjini Dodoma na kumpongeza kwa utendaji kazi wake mahiri leo asubuhi
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SHIVACOM GROUP iliyodhamini utengenezajia wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa umoja wa vijana wa CCM ndugu TANIL SOMAIYA, akimkabidhi baazi ya vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 400 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete Makamo Makuu ya CCM Dodoma Leo.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kikao cha Halmashauri kuu ya CCM kinachoendelea leo katika ukumbi wa Halmashauri kuu ya CCM Makao Makuu Mjini Dodoma. kushoto katibu Mkuu wa CCM Yussuf Makamba.
BYE BYE SALAMANDER
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone:012- 342 4371/93 Fax: 012 – 430 43 83 E-mail: t anzania@cis.co.za ...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...