August 21, 2008

Hotuba ya JK

Rais ametoa hotuba kwa takribani masaa matatu na ushee hivi, kaongea mengi sana,
  • kuhusu EPA, ni shs bilion 53 tu ndo zimerudishwa. Watuhumiwa pamoja na kurudisha pesa wameporwa hati zao za kusafiria na kuwa zitataifishwa mali zao zote pamoja na magari yao ya kifahari waliokuwa wakitanulia nayo mitaani, na kuwa kikomo cha kurejesha pesa hizo ni Oktoba 31 wale watakao kuwa hawajarejesha kukiona cha moto
  • . pia pesa hizo kakiri kuwa hazikuwa za serikali na kuwa ni za wafanyabiashara wa nje na kuwa sasa zitaelekezwa kwenye kilimo lengo likiwa kuanzisha benki ya kilimo kwa mabenki wanasema kuwa kilimo hakikopesheki.
Posted by Picasa

KIWANDA CHA SIRAHA KAWE

Kiwanda cha siraha.
Posted by Picasa

KIWANDA CHA SIRAHA ZA KIENYEJI

Kamanda Kova akionyesha kiwnda cha kutengeneza siraha kienyeji kilichokamatwa huko Kawe kwa mtuhumiwa Fransis Masunzu ambaye alikuwa na diliza kutengeza siraha pia kukata vitako vya baadhi ambazo zimekuwa zikikutwa nusu zikamatwapo.
Posted by Picasa

Jambazi latibuliwa mishe

.
Leseni ya udereva ya mtuhumiwa wa ujambazi lililokamtwa leo baada ya kupata ajari likijaribu kuwatoroka polisi mara baada ya dili kushitukiwaPosted by Picasa

Polisi watibua dili la ujambazi dar

Baluni lililokuwa likitumiwa na jambazi Hemed Said au Muddy likwa kituo kikuu cha kati cha polisi Dar mara baada ya kupata ajari wakti mtuhumiwa Muddy akiwakimbia polisi huko Tabata.
Posted by Picasa

NCHI NI TANZANIA.

RAIS KIKWETE ANAENDELEA NA HOTUBA YAKE BUNGENI AMBAYO AMEANZA YAPATA SAA SITA NA ROBO HIVI, MOJA YA MAMBO ALIYOGUSIA NI HILI ZA ZANZIBAR NI NCHI AU LA, AMESEMA "NCHI NI TANZANIA" full stop. NA KUWA WENYE AJENDA ZA SIRI WASEME.

TUTARAJIE NINI LEO TOKA KWA JK?

Wakati Mkuu wa Bongo Rais JK anatarajiwa kulihutubia bungemfupi ujao kwa mara ya pili toka kuingia madarakani yapata miaka mitatu iliyopita muda mengi yamekuwa yakiisiwa au kuzungumzwa kwamba uenda akayagusia katika hotuba yake hiyo muhimu kwa taifa letu. mengi yametokea na mengi yanaendelea kutokea toka kulihutubia bunge hilo December mwaka 2005, nadhani si vyema nikarudia hapa kuorodhesha yote yaliyo jili hapa bongo kwa kipindi kifupi hicho lakini yakiwa ni makubwa na muhimu kwa mustakbali wa taifa letu hili changa. tusubiri tusikie kile ambacho mkuu wa nchi ataka kuwaambia wanachi kupitia kwa wabunge wao.
Posted by Picasa

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...