March 6, 2009
RIP MICHAEL Uledi
Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mwandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Marehemu Michael Uledi mjini DodomaLEO. Marehemu Uledi amezikwa jana kijijini kwao Buigiri nje kidogo ya mji wa Dodoma .
SIZITAKI MBICHI HIZI!!!!
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, Dkt. Idris Rashidi, ametangaza uamuzi wa kujitoa kwa shirika hilo katika nia ya kununua mitambo ya kufua umeme ya Dowans.
Kwa mujibu wa Rashidi, uamuzi huo umefikiwa baada ya kutolewa taarifa alizodai kuwa ni za uongo na zilizojaa utashi wa kisiasa zaidi, dhidi ya utaalamu wa Tanesco na kwamba zimechangia kuvunja nguvu ya mamia ya wafanyakazi wa shirika hilo nchini, ambao wanafanya kazi usiku na mchana, kuhakikisha nchi inapata umeme wa uhakika.
“Ni imani yetu kwamba tumeishajieleza na kujenga hoja za kutosha, na umma wa Watanzania utafanya uamuzi wao wakati nchi itakapokuwa imegubikwa na giza, hospitali hazitoi huduma, viwanda havizalishi na wanafunzi vyuoni wakishindwa kusoma,” alisema Rashid.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone:012- 342 4371/93 Fax: 012 – 430 43 83 E-mail: t anzania@cis.co.za ...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...