June 30, 2008

Mama Mugabe

Mzee mzima katinga na chuma chake mara baada ya kula kiapo, Mama Graca Mugabe

JONGWEEEE NDANI YA AU

Rias Mugabe ndani ya Misri ktk kikao cha AU mara baada ya kuapishwa jana, Comrade alinukuiwa akiwataka viongozi wa Africa wanaojiamini na kudhani kuwa ni wasafi wajitokeze na kumnyooshea kidole yaaani ni ile hadithi ya yesu na mwanamke kahaba kwa waliosoma bibo au ya TOA KIBANZI KTK JICHO LAKO NDIO UONE BORITI KTK JICHO LA MWENZIO.
Posted by Picasa

EXIM BANK KIDEDEA

Rais Abdalah Sambi na makamu wake wawili na baraza zima la mawaziri walikuwepo wakati wa ufunguzi wa Exim Bank, hii ni kama mkombozi kwa wangazidja.
Posted by Picasa

EXIM IN MORONI COMOROS

Posted by Picasa

June 28, 2008

June 24, 2008

Branch on Wheel

Mwenyekiti wa Board CRDB Martin Mmari akichukua burungutu lake toka ktk Tawi linalotembea au Branch on Wheel. CRDB ni Benk ya kwanza nchini kuwa na huduma hii ya TAWI LINALOTEMBEA AMBAPO KUNA ATM PIA.
Posted by Picasa

Bank on Wheels ya CRDB

Benk ya CRDB imezindua matawi ya benk yanayotembea yaan Mobile Branch au Branc on Wheels".matawi haya yanatoa huduma zote za kibenk kama matawi mengine yoyote yale. Wakipongezana ni Mwenyekiti Martin Mmari, MD Dr Charles Kimei, Mkuu wa Benki mbadala Joseph Witts na Mkurugenzi Utafiti na Masoko Bibie Tully Mwambapa.
Posted by Picasa

Furaha yako kuzinduliwa Dom.

Flora Mbasha kuzindua albamu yake ya tatu iitwayo Furaha yako mjini Dom mwisho wa wiki hii mgeni rasm ni Mtoto wa Mkulima MP, kushoto ni ubavu wake Emmanuel Mbasha.
Posted by Picasa

Bungeni

Spika wa Bunge na mbunge wa Urambo Mashariki, Samwel Sitta akichat na wabunge Kabwe Zitto na Said Arfi, nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma

June 23, 2008

Neno la leo..

“but those who hope in the LORD will renew their strength. They will soar on wings like eagles; they will run and not grow weary, they will walk and not be faint.”- Isaiah 40:31

TUME YAANZA KAZI

TUME YA KANDORO YAANZA KAZI RASMI LEO, KUCHUNGUZA KIINI CHA KUANGUKA JENGO LA GHOROFA KUMI, TUME HII YAONGOZWA NA Joseph Malongo TOKA BODI YA WAKANDARASI, WENGINE NI Lt Col Kichogo toka JWTZ, Dr Chiguma toka Ofisi ya Rais, Daniel Mtuka (PCCB), Eng Elias Mwakalinga na Paul Ndumbaro UDSM.
Posted by Picasa

June 21, 2008

MAAFA ZAIDI DAR

Moja ya majeruhi wa ajari ya jengo hilo akiwaishwa hospitali, yasemekana bado kuna watu kadhaa wamefukiwa chini ya jengo kwani wengine walikuwa wakisika wakiita kuomba msaada. HILI NI JENGO LA TATU KUANGUKA NA KULETA MAAFA JIJINI, KA KUMBUKUMBU ZANGU SI SAHIHI, LA KWANZA NI LILE LA MTAA WA MSIMBAZI, LA PILI CHANGOMBE VILLAGE HOTEL NA HILI.
Posted by Picasa

MAAFA MENGINE DAR

Kandoro na Tsere ktk enoe la ajari.
Posted by Picasa

MAAFA MENGINE DAR

CHUMA KIMEKUBALI SHERIA.
Posted by Picasa

GHOROFA LAANGUKIA LINGINE DAR

KIFUSI CHA MABAKI CHA LILILOKUWA JENGO LA GHOROFA KUMI MALI YA MC SOMS INVESTMENT NA KUJENGWA NA N.K DECORATORS.
Posted by Picasa

GHOROFA LAANGUKA NA KULALAIA LINGINE DAR

KIBAO HIKI CHA JENGO LILILOANGUKA NA KULALIA JENGO LINGINE HAKIONESHI BUILDING PERMINT.
Posted by Picasa

June 20, 2008

KAVERO or KONDOMU MUHIMU

Wadau mechi bila maandalizi noma au vipi?
Posted by Picasa

Toi kamera

Matukio Chuma wa FCC akionesha camera feki ambazo zimejaa mjini. Sio siri wengi sana wamebambikiwa au wamelizwa toi ka hili na machinga kwa kuambiwa kuwa hii ni profesheno kamera ka wanazotumia waandishi na kuuziwa bei mbaya sana. Hii ilipatikana toka kwa mmoja wa walimu huko Mkuranga ambapo jamaa alienda kuwapiga changa la macha hata ilibidi wakakope ili waweze kununua wakiamini kuwa ni Nikon au Canon, kila moja aliwagonga kati ya 80, ooo na kuendelea, walimu hao kupitia FCC au Tume ya ushindani wamefungua kesi kudai fidia.
Posted by Picasa

June 19, 2008

June 18, 2008

Bajeti Zenji

Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mwinyihaji Makame na koba la bajeti mwaka 2008/09
Posted by Picasa

Karibu Bongo Kelly Rowland

Bila shaka utakuwa bado unalikumbuka kundi maarufu la muziki lililokuwa linajulikana kama Destiny’s Child kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa mabinti waliokuwa wanaunda kundi hilo ni Kelly Rowland(pichani).Wenzake walikuwa ni Beyonce Knowles(mke wa Jay Z hivi sasa) na Michelle Williams. Kundi hilo lilivunjika rasmi mwaka 2005 ingawa mara moja moja bado huwa inatokea wakafanya maonyesho pamoja. Baada ya kuvunjika kwa kundi lao na kila mmoja kuendelea kivyake na shughuli za kimuziki,uigizaji nk, Kelly Rowland amekuwa akijitolea sana kwa huduma za kijamii.Hali hiyo ndio imemfanya achaguliwe hivi karibuni kuwa Balozi wa Taasisi ya MTV Staying Alive ambayo imejikita katika kupigana vita na maradhi ya ukimwi pamoja na matokeo yake kama vile kuwanyanyapaa walioathirika nk. Ni katika wadhifa huo wa “ubalozi” ambapo Kelly Rowland anatarajiwa kutua nchini Tanzania hivi leo ikiwa ni katika ziara yake katika nchi kadhaa za Afrika ikiwa na nia ya kueneza ujumbe na kuendeleza kazi za taasisi hiyo. Kwa mujibu wa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania ambao ndio wenyeji wake,Kelly Rowland anatarajia kutembelea vituo kadhaa vinavyojishughulisha na mapambano dhidi ya ukimwi na pia kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ziara yake. Akimaliza ziara yake nchini Tanzania,Kelly Rowland anatarajiwa kuelekea Kenya na kisha Ghana,Msumbiji na Angola. Halafu bonyeza hapa uone jinsi mwanamuziki huyu na nduguze walivyopewa heka heka na nyani katika mojawapo ya nchi za kiafrika anazozitembelea. By BC.
Posted by Picasa

Kwa Mabachela TUUUUU!!!

Kwa wanaume mliomabachela au mnasaka wenza msipate tabu Japan wametengeneza videmu maalumu vya kuwaliwaza. TOKYO (Reuters) - She is big-busted, petite, very friendly, and she runs on batteries. A Japanese firm has produced a 38 cm (15 inch) tall robotic girlfriend that kisses on command, to go on sale in September for around $175, with a target market of lonely adult men.
Posted by Picasa

Mafuta yapanda!!

PAMOJA NA KUPANDA KWA KIWANGO CHA UZALISHAJI MAFUTA DUNIANI BADO BEI YAENDELEA KUOGEZEKA, LAKINI ZAIDI NI KUWA TAIFA KUBWA PEKE YAKE LATUMIA ZAID YA ASILIMIA 30 YA MAFUTA YOTE UKU LIKIZALISHA ASILIMIA NDOGO YA KILE YANACHOTUMIA. World crude oil production has topped out at 85 million barrels per day even as demand keeps climbing, helping to drive a stunning surge in prices, billionaire oil investor T. Boone Pickens said on Tuesday. "I do believe you have peaked out at 85 million barrels a day globally," Pickens, who heads BP Capital hedge fund with more than $4 billion under management, said during testimony to the Senate Energy and Natural Resources Committee. The United States alone has been using "21 million barrels of the 85 million and producing about 7 of the 21, so if I could take just a minute on this point, the demand is about 86.4 million barrels a day, and when the demand is greater than the supply, the price has to go up until it kills demand," Pickens told lawmakers. U.S. crude futures have risen by a third since the start of the year and more than six-fold since 2002 as surging demand from China and other developing nations outpaces new production.
Posted by Picasa

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...