July 16, 2008
PICHA INA MWANGWI MKUBWA !!
Wanasema picha yaongea maneno elfu moja, lakini kwa Picha hii nazani yaongea maneno milion au zaidi yaani kuliko ambavyo mtu angeweza kueleza, yasikitisha sana kwamba katikati ya tambo na mbwembwe nyingi za wanasiasa wetu, katikati ya RICHMOND NA EPA, katikati ya VIJISENT na MINALA YA BOT, pana wabongo kama hawa lukuki ambao wanaogelea ktk lindi la umasikini na maradhi,
YAWEZEKA MTOTO HUYU AMBAYE YAONESHA YU CHEKECHEA ANAJUKUMU LA KUMTUNZA NA KUMWANGALIA MAMA YAKE AMBAYE YU HOI KITANDANI, SIJUI HATA SENT YA KULA WAPI ANAIPATA MTOTO HUYU, HUKU NI KUZEEKA UNGALI MTOTO.
Asante mdau Yahya Charahani kwa picha hii. naomba utupe fulu diteili na anwani za familia hii kuna wadau wameonyesha nia ya kuisaidia.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
At least 32 people have been killed in multiple explosions after an accident at a munitions dump in Tanzania's commercial capital, Dar e...