August 2, 2010
Breeeeaking Newzzzz - Jidulamabambasi Afariki!, Shibuda apoooza
Habari zilizotufikia muda si mrefu zinadai kuwa Amani Jidulamambambasi amefariki ghafla leo hii na Mbunge anayemaliza muda wake Magare John Shibuda amepoooza mdomo ama stroke.
Wakati matokeo ya kura za maoni zilizopigwa jana zikizidi kutolewa hari imekuwa ndivyo sivyo kwa baadhi ya wagombea wa Jimbo la Maswa Mkoani Shinyanga.
2010 Presidential race begins
Kura za maoni ni kitimtim,
Vituko, vimbwanga, na hata kupigana vimeonekana kutawala kura za maoni ndani ya CCM na ata kufikia kuairishwa kwa baadhi ya maeneo,
Vyombo mbalimbali nchini vimeripoti mapungufu haya kwa namna yake lakini pia na matoleo kwa baadhi ya sehemu huku yakionesha vigogo kadhaa kupigwa mweleka,
DAILY NEWS ( Irregularities mar CCM pollsIrregularities mar CCM polls), habarileo ( Uchaguzi CCM wavurugika) Mwanachi (Malecela, Karamagi,Selelii, Chiligati hoi, SITTA, KILLANGO,MWAKYEMBE JANUARY, NCHIMBI WANG'ARA), The Guardian ( Delays and irregularities affect voting exercise), Nipashe (Kura maoni CCM Vigogo wangoka), Tanzania Daima (KURA ZA MAONI: Moto wawaka CCM
• Mchuano wa ubunge watoa matokeo magumu)
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Prof Aloysius Mwessa Hnonoli ni Mbongo wa kwanza kuwa Mkurugenzi wa Muhimbili na Mkuu wa Chuo kikuu cha Tiba. Mstaafu huyu jana alitu...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
Mineral occurrence in Tanzania by TMAA UONGEZAJI WA PATO LA MTANZANIA Mheshimiwa Spika, 46. Lengo la Dir...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
Dr H Mwakyembe akishushwa toka ktk ndege ya kukodi na kupelekwa moja kwa moja MOI kwa Matibabu zaidi, Dr Mwakyembe alipata ajali ya gari m...
-
Ukumbi huko nyuma ya Minara miwili ukiwa ni wa mviringo. Eneoe kubwa la chai na ukaguzi pamoja na usajili kwa waalikwa. Sehemu za waa...