February 11, 2008

Kipanya 2day

Form six Exams

Kidato cha sita waanza mitihani leo.

Braraza Laahirishwa kutangazwa..

HABARI ZA UHAKIKA NI KWAMBA RAIS AMEAIRISHA KUTANGAZA BARAZA LA MAWAZRI HADI KESHO, SABABU HAZIJATOLEWA.

Baraza

Ni muda mchache tu umebaki tujue nani kaachwa na nani kabaki kwa waheshimiwa hapa juu. Habari zilizotufikia ni kwamba uenda BARAZA halitatangazwa leo.

hapana shaka hii itaongeza presha kwa baadhi ya waheshimiwa ambao hawana uhakika ama kubaki au kuondoka.

Waserbia ndani ya Bongo

Makocha wa Yanga na Simba toka Serbia Condic na Cirkovic wakibadilishana contact. wapenzi wa Jangwani na Msimbazi mwasemaje?

Rally

Washindi wa African Rally Championship Muna Singh na David Sihoka to Zambia mara baada ya kutawadhwa jana.

Maji kasheshe

Kasheshe la maji kwa sehemu kadhaa za jiji bado ni songombingo, hapa ni Mbagala charambe.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...