October 13, 2008
Mwaloni kama kawa
Biashara katika soko la Samaki la Kirumba AU Soko la Kimataifa Mwaloni zililejea jana baada ya mgomo uliodumu kwa siku tisa wa wafanyabiashara kupinga kupandishwa kwa ushuru maradufu na kampuni iliyokuwa imepewa kandarasi ya kukusanya ushuru sokoni humo ya Upeo Vijana jana. Kampuni hiyo imesitishwa utoaji huduma hiyo na sasa Halmashauri ya Jiji ndio inakusanya kwa muda
Yasemekana kulikuwa na vituo vitatu vya kuchukua ushuru ndani ya mkoa na wilaya moja, na kila kituo gunia moja lalipiwa 300 au 500, kulingana na ujazo na gari likiingia kupakia mzigo lalipiwa paking, hawa jamaa wa UPEO VIJANA wakapandisha toka 300 kwenda 600 kila kituo na 500 kwenda 1,500 ndo kasheshe ilipoanzia hapo.
CHADEMA KIDEDEA TARIME
UCHAGUZI TARIME
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
HII NI HOSTEL YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WANAPOISHI WATAALAMU WETU WA AFYA WA KESHO.
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...