December 28, 2014

SHUHUDA - KUPITIA KITABU


SIRI ZA KUWA MFANYABIASHARA – USHUHUDA.
Mama huyu anamiliki duka la vifaa vya pikipiki maeneo ya Kariakoo lenye thamani ya zaidi milioni 200, biashara yake ilikuwa inafanya vizuri hapo kabla, lakini ghafla mauzo yalianza kushuka kwa kasi ya ajabu kutoka mauzo ya Mil 4 mpaka kuuza elfu 15 au 10 kwa siku.


Alichanganyikiwa, akatamani kufunga fremu na kurudisha kwa mwenye nyumba, alikata tamaa, akakaa nyumbani muda wa miezi mitatu, aliamua kufunga safari kutafuta msaada Nigeria kwa Mtu wa Mungu Nabii TB Joshua, baada ya maombezi alimshauri arudi Tanzania atapata mtumishi mwenye nguvu atakaye msaidia.
Hatimaye siku moja akiangalia kipindi cha saa ya Ukombozi kupitia Star TV alimwona Nabii BG Malisa , akaamua kufunga safari kufika kanisa la Ukombozi Tegeta, baada ya ibada alinunua kitabu hiki cha “Siri ya kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa”  alitumia kitabu hiki na mwomgozo wa maombi.


Hivi sasa anashuhudia kuwa biashara yake imerudi kama zamani na mauzo kuongezeka kila siku,anashuhudia kuwa kitabu hiki kimekuwa msaada mkubwa sana, kwani kila akitumiapo anaona mpenyo.

PATA NAKALA YAKO FUATILIA HAPA.

UZINDUZI WA JUKWAA LA KISASA LA INJILI PAMOJA NA VYOMBO.

Hili ni jukwaa la kisasa kabisa linalotarajiwa kuzinduliwa leo hii na Mtu wa Mungu Nabii BG Malisa.
.

Mchngaji kiongozi wa kanisa la Ukombozi Tegeta Pastor Tetemeko (Kulia) akimtambulisha Pastor  Paul, pastor Paul alikuwa amepooza mwili mzima kwa zaidi ya siku 24, alikuwa hawezi. kutembea wala kunyanyuka, siku ya mkesha wa kinabii, mkesha wa maajabu ndipo alifunguliwa, mpaka sasa anatembea.

Wachungaji, Shangwe toka Shinyanga, Imani toka Sengerema na Paul toka Morogoro wakati wa ibada ya kinabii na uzinduzi wa jukwaa la kisasa.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...