April 6, 2008

"NO REFERENDUM"- CUF

Chama cha Wananchi CUF kimesema kura za maoni zilizopendekezwa na NEC ya CCM hazikubaliki kwa mazungumzo ya muafaka wa kisiasa visiwani.

TABATA DAMPO

Waathirika waubomoaji wa kikatili wa Tabata Dampo jijini bado waishi kkt vibanda kutokana na kutokuwa na pa kwenda. Bi Mafunda Khamis na Mumewe na watoto watano wameishi nyumba za kupanga maisha yao yote jijini,ni mwaka jana walipojikomboa na kupanga baada ya kujenga nyumba yao eneo hili. Hawana zaidi ya mwaka ndani ya nyumba yao wanakumbana na bomoabomoa ya kikatili kama hii. Mvua zinazoendelea zimewalazimisha kuwaombea hifadhi kwa ndugu watoto na wao kubaki hapo.

NATAFUTA MCHUMBA

JAMANI MJAMAA ATAFUTA JIKO HUYU NA SIFA KAORODHESHA HAPO CHINI, JE NI KWELI SASA TUMEFIKA HATA KUJITANGAZA KTK VYOMBO VYA HABARI? AU NI UBIZE ATA KUSEMESHA TOTOZ INAKUWA TABU? Mimi kwa jina naitwa bw. Jarome Msaka, nimezaliwa mwanzoni mwa 1976, ningependa kujitokeza kwenye blog yako unisaidie natafuta mchumba. Sifa zangu ni kama ifuatavyo;Elimu: Masters ya Management IT Security Kazi: Nzuri ya kipato cha kutosha, nina nyumba na usafiri wangu binafsi. Makazi: Dar es salaamHeight and body built: 5.8", normal body. Sifa zingine: Sivuti sigara, nakunywa pombe kiasi, ni mkristo (Lutheran), sijawahi kuoa na sina mtoto,sina ulemavu wowote, mcheshi kiasi, mwenye kupenda maendeleoMchumba ninayemtaka awe naumbile la wastani, mwenye elimu kuanzia degree moja, mpenda maendeleo, asiwe complicated na awe muwazi, awe tayari kupima ukimwi, awe Mtanzania au at least TOKA EA community, mkristo, ambaye hajawahi kuzaaa wala kutoa mimba.Natumaini utanisaidia kwa hili hasa ukizingitia nature ya kazi yangu inanibana kiasi nashindwa kupata nafasi ya mchumba ninayemtaka.Ambaye yupo tayari (mabinti tu) atume maombi kwa E-mail jarome_msaka@hotmail.com akiambatanisha picha yake ya passport pamoja na na ya full.*MDAU MWENYE SHAUKU YA KUPATA MWENZI WA MAISHA,JAROME PAUL MSAKA. kwa hisani ya Haki Ngowi.

NENO LA LEO

“This is how we know what love is: Jesus Christ laid down his life for us. And we ought to lay down our lives for our brothers.”- 1 John 3:16

JOHN MDOLWA HATUNAYE TENA

MWANDISHI Mwandamizi na Mratibu waHabari na Matukio wa televisheni yaITV na Radio One, John Mndolwa (46),amefariki dunia leo alfajiri majira ya saa 10 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kwa mujibu wa habari zilizotolewa naMkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhaville, marehemu Mndolwa alilazwa hospitali ya Kairuki kwa wiki moja. Kifo chake kimesababishwa na shinikizo la damu. Mndolwa ambaye alizaliwa Novemba 9,1962 mkoani Tanga alianza kazi za uandishi mwaka 1980 katika Idara ya Habari ya Radio Tanzania (RTD) na aliajiriwa na ITV na Radio One Julai 1994.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika. Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu - AMINA
ALIYENYANYASWA AKIONESHA KIMINI NA CH****** YAKE
As they stripped me they kept shouting that this is what I wanted. Some were sticking their finger in my vagina while others poured alcohol over my head and called me all sorts of names.

BONDENI KUMEKUCHA,

WANAWAKE KWA MZEE MADIBA WAKIPINGA KUNYANYASWA KWA MWENZAO NA WAHUNI KWA KUVAA KIMINI. ALIYE NYANYASWA ASEMA, "As they stripped me they kept shouting that this is what I wanted. Some were sticking their finger in my vagina while others poured alcohol over my head and called me all sorts of names." Well, what did the South African women do?

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...