Salaam Kutoka Dar es Salaam,Habari za kazi na pole mwa mihangaiko.Naomba msaada wa kuweka HABARI inayohusu kitabu chetu cha sanaa cha comic kinachoitwa TOM & JENNY IN TANZANIA ambacho kiko attached kwenye email hii kwenye format ya GIF. Tutashukuru sana kama utaki-post kitabu chetu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu, ili wasomaji wa blog yako wajue kwamba sasa kitabu kimetoka na wanaweza kukipata jijini Dar es salaam na vilevile tunaweza kuwatumia wasomaji walio nje ya Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.Natanguliza shukrani zetu za dhati, na hongera kwa kazi nzuri yenye ubunifu wa hali ya juu.JoeBaseline Afrika - Tanzania.
July 26, 2010
Tom and Jenny book kibongobongo kipo madukani
Nimepata ujumbe toka kwa wadau wa baseline wakitaka kuwajuza wadau juu ya comic book ya Tom and Jenny ambayo sasa yapatikana madukani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
Huwa nina kawaida au tabia ya kusoma kila kilichombele yangu kilichoandikwa, sijui kama kawaida/tabia hii ni mzuri au la kila mtu aweza sem...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
No comments:
Post a Comment