January 22, 2008
JK ndani ya BK.
1.Wazee wa mji wa Bukoba wakimpa zawadi za jadi Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Uhuru mjini humo jana.baadaye Rais Kikwete alihutubia mkutano wa hadhara.
2.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma ya mtawala wa jadi aliyokabidhiwa na wazee wa mji wa Bukoba juzi katika viwanja vya Uhuru mjini hapo.
3.Umati wa mamia wa wakazi wa mji wa Bukoba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia juzi.
4.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mzee Paulo Kilaini mwenye umri wa miaka 80 katika kijiji cha Katoma nje kidogo ya mji wa Bukoba juzi.Mzee Paulo Kilanini ni Baba Mzazi wa Askofu Msaidizi Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Method Kilaini.Rais Kikwete alikwenda kijijini hapo kukagua maendeleo ya Shule ya msingi Kilaini iliypjengwa na Askofu huyo katika kiwanja alichokitoa Babu yake.
Kwa wale msofahamu mila za BK
VAZI la kanzu na koti ni vazi la heshima kwa Wazee wa mkoa huu na mara kijana anapooa upewa upewa kanzu, mkuki na mundu hii kutambua kwamba kijana sasa kawa mtu mzima na anaweza kuongea na kukaa na wazee wa kijiji na kutoa mchango wake, kama ujaoa hata kama utakuwa na miaka mia we ni mtoto tu huwezi ongea mbele za wazee.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
A very rare opportunity. With Outstanding Entrepreneur, Great Visionary, Motivational Speaker, Founder, Chairman and CEO of Edmark Inte...
-
Huwa nina kawaida au tabia ya kusoma kila kilichombele yangu kilichoandikwa, sijui kama kawaida/tabia hii ni mzuri au la kila mtu aweza sem...
No comments:
Post a Comment