Ikulu yajibu,
Lile sakata la kusaini mkataba aliloliibua Zitto Kabwe bado bichi, sasa Ikulu yakili kwamba Rais hakujua na kwamba si lazima ajue kama mwandishi wake anavyonukuliwa ktk gazeti la leo la Habari Leo.Nini hatima ya hayo yote???????? tusubiri kwani subira yavuta kheri, na pia Mhe JK anatarajiwa kuzuru huko mgodini wiki hii, Je nini kitajitokeza? na ukweli hasa ni upi? TIME WILL TELL!
August 21, 2007
Ikulu yajibu,
Lile sakata la kusaini mkataba aliloliibua Zitto Kabwe bado bichi, sasa Ikulu yakili kwamba Rais hakujua na kwamba si lazima ajue kama mwandishi wake anavyonukuliwa ktk gazeti la leo la Habari Leo.Nini hatima ya hayo yote???????? tusubiri kwani subira yavuta kheri, na pia Mhe JK anatarajiwa kuzuru huko mgodini wiki hii, Je nini kitajitokeza? na ukweli hasa ni upi? TIME WILL TELL!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
Popular Posts
-
At least 32 people have been killed in multiple explosions after an accident at a munitions dump in Tanzania's commercial capital, Dar e...
-
KASHFA YA RICHMOND YAPELEKEA Lowassa kujiuzuru, hii ina maana gani wapendwa? je na baraza zima limepigwa chini au niaje? Pichani juu ak...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia uandaaji wa huduma mbali...
-
Wiki moja tu baada ya serikali kutangaza kuanza kutoza ushuru kwa mashirika ya Dini wakti ikiwasilisha bajeti ya Mwaka 2009/10 Waziri Mkuu M...
-
Mgombea wa CCM Oscar Mukasa akipiga kura. Matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa Biharamulo yanaonesha mchuano mkali sana kati ya CCM na CH...
-
MGOMO WANUKIA TAZARA Wafanyakazi wa TAZARA kupitia chama cha wafanyakazi wa reli leo wametangaza mgogoro na uongozi wakidai kulipwa mishahar...
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
2 comments:
MZEEE KAZI YAKOO KUBWA ' TUNASHUKURU KWA KUTUPA HABARI MOTOMTOOOOO..
BONGOPIX HEBU TUSHUSHIE PICHA JK SHINYANGA LEO TUMSIKIA WATU WAMELALA BARABARANI..
.KAZIIII NZURI MZEEEE
MDAU WAKO WA KONGO
Post a Comment