Hii picha ni nzuri sana, nimeipenda sana, hongera kwa aliyepiga picha hii, inaongea zaidi ya maneno millioni moja unapozungumzia mchakato wa katiba, inaongea vitu vingi sana kuliko unavyoweza kueleza, inaonesha jukumu kubwa lililo mbele ya Mheshimiwa Rais kiasi kwamba inabidi aipitie hotuba yake mara kadhaa, pengine kuongeza au kupunguza baadhi ya mambo.
NICE PIX.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
Popular Posts
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Biharamuro Magharibi, kwa tiketi ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), Phares Kabuye amekufa katika ajali ya basi ...
-
Miaka 3 imetimia leo hii, mengi yamepita hapo lakini bado naona kama jana tu. Asante BWANA wa Majeshi kwa kutupigania kutulinda na hata ku...
-
Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion...
-
Mwandishi wa kituo kimoja cha redio cha watoto wa mjini akiwa kazini wakati wa uzinduzi wa Kili Muzic Awards 2007
-
"Nimerikuta maeneo ya Ubungo likielekea Posta, yasemekana yameletwa ka 200 hivi na mengine 1000 yako njiani kutatua shida ya usafiri na...
-
JAMANI MJAMAA ATAFUTA JIKO HUYU NA SIFA KAORODHESHA HAPO CHINI, JE NI KWELI SASA TUMEFIKA HATA KUJITANGAZA KTK VYOMBO VYA HABARI? AU NI UBI...

No comments:
Post a Comment