Katika kudhiirisha kauli ya Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolise Suleiman Kova, kuwa “uvumilivu sasa basi” kwa mara ya kwanza nchini askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) wameonekana mitaani kusaidiana na jeshi la polisi katika kuimarisha ulinzi katika mitaa ya Jiji la Dar es Salaam ambapo wafuasi wanaosemekana kuwa ni wa Sheikh Issa Ponda, ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa mbalimbali, walikuwa wanaandamana kuelekea Ikulu kushinikiza kuachiwa kwake bila masharti.Si kawaida kwa JWTZ kuingia katika vurugu za maandamano, lakini bila shaka “UVUMILIVU UWA UNA MWISHO”, labda huu ni mwanzo wa enzi mpya, Muda tu ndio utaamua. Picha kwa hisani ya Happiness Mnale
October 19, 2012
JWTZ laingia kudhibiti maandamano haramu Dar
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Mwanamuziki wa kizazi kipya TID au Khalid Mohamed akiwasili mahakama kuu kueleza nia yake ya kukata rufaa kifungo cha mwaka mmoja alichohu...
-
Non-communicable diseases are now the leading cause of death around the world, with developing countries hit hardest, according to a new...
-
Zimdollar ni pesa ya kulipa ktk Daladala tu, uwezi nunulia chochote huko. HARARE, Zimbabwe – A woman pays her bus fare with 3 trillion in ...
-
August 13-16th, 2009 in Nairobi, Kenya. Kelele is an annual African bloggers’ conference held in a different African city each year and ru...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
Here are the TEN important things every Tanzanian should know about prostate cancer: About 1,250 Tanzanian men will probably ...
-
Dar es Salaam. State House has categorically refuted claims by leaked US embassy confidential diplomatic communication indicating...