December 12, 2009
Hoseah na Feleshi, nani atwambii ukweli?
Katuka mila nyingi za kiafrica ama kibantu ni utovu wa nidhamu kumwita mkubwa wako MWONGO ni kitendo cha dharau, nami nisingependa kabisa kuwa mtovu wa nidhamu, sipendi niwakosee heshima wakubwa zangu, lakini pamoja na ukweli huo bado nahisi kwa haya yaliyojili hivi karibuni kati taasisi nyeti nchini yaani PCCB na DPP na majibizano yaliyolipotiwa, nahisi kuna mtu atwambii ukweli hapa, sijui yupi na sababu ip lakini hii ndo hisia.
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Eliezer Feleshi, amekanusha tuhuma kuwa ofisi yake imekalia mafaili 60 ya kesi zinazohusu rushwa na kueleza kwamba kamwe hafanyi kazi kwa shinikizo. Feleshi alikuwa akijibu taarifa zilizoandikwa jana na vyombo vya habari zikimkariri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, akiituhumu Ofisi ya DPP kwa kukalia mafaili hayo ya kesi za rushwa.
“Ni kweli napokea mafaili mengi kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Takukuru na Polisi, siwezi kueleza ni mangapi kutoka Takukuru yapo katika ofisi yangu, lakini jambo moja muhimu la kuzingatia ni kwamba sifanyi kazi kwa shinikizo, tunaongozwa na sheria na ndizo zinazozingatiwa,” alisema DPP.
SOURCE. HABARI LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
A very rare opportunity. With Outstanding Entrepreneur, Great Visionary, Motivational Speaker, Founder, Chairman and CEO of Edmark Inte...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
No comments:
Post a Comment