24 Can plunder be taken from warriors, or captives rescued from the fierce [b] ?
25 But this is what the LORD says: "Yes, captives will be taken from warriors, and plunder retrieved from the fierce; I will contend with those who contend with you, and your children I will save.
26 I will make your oppressors eat their own flesh; they will be drunk on their own blood, as with wine. Then all mankind will know that I, the LORD, am your Savior, your Redeemer, the Mighty One of Jacob."
August 31, 2009
"UNSITTING A STRONGMAN"
Wadau si vibaya siku moja moja kuwashirikisha kile tukipatacho katika nyumba za ibada kama nilipopata bahati ya kuuzulia Ibada ya jana katika Kanisa la Ufufuo na Uzima pale Ubungo, na ujumbe wa jana ulikuwa "Unsitting a Strongman" likitoka Isaya 49: 24-26
Ni namna gani shetani anaweza kukalia baraka au kuinuliwa kwa wateule na kutaka kuwatala kwa kitambo kidogo (kwani hana uwezo wala kibali cha kuwatala wateule milele) na kukutesa kwa kitambo hicho lakini pale unapotambua kuwa we ni nani na kumtambua shetani na nguvu zake, ndipo uwa rahisi kwako na kwa kutumia jina lipitalo majina yote la YESU waweza kujinasua na mbinu na mitego ya mwovu shetani.
Ndipo pale yule aliyedhani amemfunga mlango ujikuta akifungua si tu na madirisha bali na paa pia. Amen
Soma huo mstari wa mwisho uone vile BWANA anaenda kutenda kwa watesi wako, si wewe bali ni yeye asemaye maneno haya, hayo yatoka kinywani mwa Bwana wa Majeshi, je wataka aseme nini tena? Ubarikiwe sana mpaka ushangae weye unayeteswa na kudhulumiwa sasa maana uponyaji wako huu karibu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
At least 32 people have been killed in multiple explosions after an accident at a munitions dump in Tanzania's commercial capital, Dar e...
-
Ni nini Waziri Mkuu wa Zamani Cleopa D Msuya aweza kuwa akimweleza JK? ...............................................................?
-
Mwanablog, Bizinezmen, Mwanamichezo na Mbunge Mo Dewji akiwa chumbani kwake Singida. mtembelee hapa.
No comments:
Post a Comment