January 27, 2009
Liumba na Kweka wapanda kizimbani.
Amatus Liumba
Deogratius Kweka.
Watuhumiwa Amatus Liumba na Deo Kweka waliokuwa watumishi wa BOT wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia hasara serikali zaidi ya Bilioni 220 TZS na ushee.
Wamepelekwa rumande baada ya kushindwa masharti ya dhamana ikiwapo kila mmoja kuweka dhamana ya bilioni 50 TZS.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
1 comment:
jamani huyo Liyumba si ndio walikuwa wasema anavirusi na alikuwa anasambaza kwa wakinadada kwa kuhonga magari mekundu? mbona kachoka sana, au ndo afya imekua na migogoro sikuizi?
Post a Comment