August 25, 2008
Mwakilishi wetu BBA
Kwa miaka miwili mfululizo tumekuwa tukiwakishwa na wanaume ktk lile jumba la Big BROTHER au Kaka Mkubwa na wote kufanikiwa kufika hadi mwisho kwa mmoja kuibuka wa pili (Mwampamba) na mwingine kuibuka kidedea yaaani Richard, lakini mwaka huu ndani ya Jumba la Kaka Mkubwa wa Africa kwa mara ya kwanza tumepeleka binti naye si mwingine bali ni bi Latoya Lyakura binti toka "A" tauni, huyu ni Katibu Muhtasi ambaye apenda kucheza, kushop na kujimix na watu.
Je dada Latoya atafanikiwa kama Richard au angalau kama Mwisho? au ndo..........................................................?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
A very rare opportunity. With Outstanding Entrepreneur, Great Visionary, Motivational Speaker, Founder, Chairman and CEO of Edmark Inte...
-
Huwa nina kawaida au tabia ya kusoma kila kilichombele yangu kilichoandikwa, sijui kama kawaida/tabia hii ni mzuri au la kila mtu aweza sem...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
No comments:
Post a Comment