July 16, 2008
PICHA INA MWANGWI MKUBWA !!
Wanasema picha yaongea maneno elfu moja, lakini kwa Picha hii nazani yaongea maneno milion au zaidi yaani kuliko ambavyo mtu angeweza kueleza, yasikitisha sana kwamba katikati ya tambo na mbwembwe nyingi za wanasiasa wetu, katikati ya RICHMOND NA EPA, katikati ya VIJISENT na MINALA YA BOT, pana wabongo kama hawa lukuki ambao wanaogelea ktk lindi la umasikini na maradhi,
YAWEZEKA MTOTO HUYU AMBAYE YAONESHA YU CHEKECHEA ANAJUKUMU LA KUMTUNZA NA KUMWANGALIA MAMA YAKE AMBAYE YU HOI KITANDANI, SIJUI HATA SENT YA KULA WAPI ANAIPATA MTOTO HUYU, HUKU NI KUZEEKA UNGALI MTOTO.
Asante mdau Yahya Charahani kwa picha hii. naomba utupe fulu diteili na anwani za familia hii kuna wadau wameonyesha nia ya kuisaidia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
The Edmark Double Bonus Marketing Plan consists of both the Point Sharing System and the Block System. Thus, giving maximum benefits ...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
Siri za kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa. Na NABII BG MALISA. Mafanikio yoyote yana siri kubwa. Hakuna mtu aliyefanikiwa kama ha...
-
Katika ajali hii kulikuwa na Shemeji yangu mke wa mdogo wangu Crispin Kagimbo, Ms Amina Ali pamoja na watoto wawili, Collin (1) na Micha...
-
Porn image ban sparks concern A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extre...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
No comments:
Post a Comment