February 17, 2008
Bush amwaga mapesa Bongo
Bush aliongozana na mkewe pamoja na Condoleza Rice, yako mambo mengi sana ya kujifunza kutokana na ujio huu kwa kitengo cha mawasiliano cha ikulu, wanausalama pamoja na waandishi na hasa watumia kamera.
jinsi ya kufanya kazi au kutuwezesha wapigapicha kupata picha nzuri pasipo na bughuza yoyote nadhani hili ni somo kubwa sana kwa ndugu zetu wa usalama ambao wanadhani kuwa kazi ya ni kuzibiti wapigapicha tu, na si kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa picha bora na si bora picha.
Kuna watu wanaitwa Visual Advisors hawa ni watu muhimu sana kuwa nao kama ikulu hakuna mtu kama huyu basi ni vyema kufanyike utaratibu wa kupata mtu huyu.
yeye ni kiungo muhimu sana si tu ktk kuhakikisha kuwa panakuwa na mazigira au mandhali nzuri na mwaga tosha eneo la tukio bali pia ni kiungo kati ya kameraman na usalama ktk kuhakikisha kila mtu anafanya kazi yake vizuri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
It has been a while now that my life had taken on a sense of expectation. It has been almost 3 months since I met Russell Simmons at a char...
-
It’s not important to hold all the good cards in life. It`s important how well you play the cards which you hold. Often, when we lose...
-
Edmark International founder, Chief Executive Officer and Chairman. Edmark Tanzania welcomes all entrepreneurs, business people a...
-
Gadhafi na Obama With reported pockets of fighting remaining in Tripoli on Wednesday, the whereabouts of Lib...
-
MALUIMBANO kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki (RC) yanaendelea kuwa makali, baada ya waumini wa kanisa hilo kumuelezea mwanasiasa mkongwe nchi...
-
Thank you. Thank you. Thank you so much. (Sustained cheers, applause.) Tonight, more than 200 years after a former colony w...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
Can You Make Money with FLP?—A Review of Forever Living Products Je ni kweli waweza ingiza kipato kwa kupitia biashara ya mtandao Forever? ...
1 comment:
mkuu kazi nzurii, nimekua nikisoman kilio chakoo juu ya jamaa zetu kutoa tambua kazi zao za msingi za kuwaandalia maeneo mwanana ili muweze kupioga piocha za uhakika kama hizii.., hebu fikisha kilio hicho kwa wakubwaaa waelezeee huo utaratibu wa leo chini ya wamarekani ndo utaratibu mzuri na wa hali ya juu duniani kote..
Pole kwa kazii..
Haki
Post a Comment