Pages

November 2, 2011

Taswira za Rock City Leo hii kupitia Ka-smart Phone kangu!!


"Tutakapozidiwa msuli wetu utakuwa mkubwa zaidi" 
RPC Liberatus Barlow, anasema hayuko tayari kuvumilia uvunjifu wowote wa amani jijini humo kwa kisingizio chochote kile 


Jiji zima lilikuwa kimyaa kwa kipindi fulani. 

Nini kinaendelea huko, kila mtu yuko roho juu.
Hali ilikuwa tete jijini Mwanza leo hii baada ya kundi kubwa la Waislam kujazana mahakamani na kufanya fujo wakati kesi ya kuchoma Koran ilipokuwa ikisikilizwa.

Ililazimika Polisi kuingilia kati na kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi wote, mji mzima ilikuwa ni patashika nguo kuchanika

No comments:

Post a Comment