Pages

November 2, 2011

Timbwili la Konda na Mama wa Usafi

Leo hii katika pitapita zangu ka-smart phone kangu kakanasa timwili hili la Konda wa Daladala na Mama wa Usafi barabarani, Mama anadai gari la jamaa limegonga na kuharibu kibao cha tahadhari ambacho ukiweka wafanyapo usafi, jamaa alikuwa anakimbia akakwidwa na mama. 






Jamani kina mama hawa shughuri yao ni ya muhimu sana kama zilivyo kazi zetu, tuwathamini hawa, fikilia kama wafanya usafi hawa wasingekuwepo miji ingekuwa inafananaje? Tuwathamini.

No comments:

Post a Comment