Pages

October 25, 2011

CITI Bank boosts Mwananyamala Maternal Health care.

 Meneja Uhusiano wa Citibank, Frank Kallaghe (kulia) akikabidhi vifaa vya matibabu ambavyo ni  'oxygen concentrator , two examination tables, two examination sreens, two examination lights, two B.P machines and 10 delivery kits' vyenye thamani ya milioni 9m/- kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani ikiwa ni mchango wa wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusaidia  wakati wa uzazi ili kupunguza vifo vya kinamama na watoto wakati wa kujifungua. Kulia ni Katibu wa Klabu ya Citibank, Emma Mwenda. Zaidi tembelea DAILY MITIKASI BLOG

No comments:

Post a Comment