Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaza fomu ili kupata kadi mpya
ya Debit Master Card ya Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya NBC
Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Wanaomsaidia Rais kutoka kushoto ni,
Meneja Tawi la Corporate Bi. Jacqueline Sindano, Mkuu wa Shughuli za Kibenki,
William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti.
No comments:
Post a Comment