October 25, 2011
CITI Bank boosts Mwananyamala Maternal Health care.
Meneja
Uhusiano wa Citibank, Frank Kallaghe (kulia) akikabidhi vifaa vya matibabu
ambavyo ni 'oxygen concentrator , two
examination tables, two examination sreens, two examination lights, two B.P
machines and 10 delivery kits' vyenye thamani ya milioni 9m/- kwa Mganga Mkuu
wa Hospitali ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani ikiwa ni mchango wa
wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusaidia wakati wa uzazi ili kupunguza vifo vya
kinamama na watoto wakati wa kujifungua. Kulia ni Katibu wa Klabu ya Citibank,
Emma Mwenda. Zaidi tembelea DAILY MITIKASI BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
The Edmark Double Bonus Marketing Plan consists of both the Point Sharing System and the Block System. Thus, giving maximum benefits ...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Uongozi wa Shule za Marian Bagamoyo unawakaribisha wote kwenye Fundraising Dinner hii ili kuchangisha fedha ya Kujenga na kue...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
Porn image ban sparks concern A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extre...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
August 13-16th, 2009 in Nairobi, Kenya. Kelele is an annual African bloggers’ conference held in a different African city each year and ru...
No comments:
Post a Comment