Kumekucha A Town, damu yamwagika maandamano ya CHADEMA
Viongozi wa juu wa CHADEMA, wakiongowa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe (Watano kulia) na katibu mku, Dk.Wilbroad Slaa(Wasita kulia) wakiongoza maandamano yaliopigwa marufuku na polisi jana mjini Arusha.Hatimaye polisi iliwatolea uvivu na kuwapiga kwa mabomu ya machozi. Habari zaidi zaeleza kuwa Mbowe anashikiliwa na polisi. Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Dk.Wilbroad Slaa, Josephine akiwa ametapakaa damu baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kipigo na polisi wakati wakivunja maandamano ya viongozi na wanachama wa chama hicho yaliyofanyika mjini Arusha jana.Katika maandamano hayo watu kadhaa walijeruhiwa baada ya kupigwa na pilisi wa kutuliza ghasia.
Jk huwezi kuongoza nchi kama tuko karne ya 15 hii ni karne nyingine bwana huwezi kukwepa hii lawama. Watu wanaouhuru wakujieleza. Nafikiri kuondoa lawama ungekua unafanya wananchi wanayoyataka nasio ubabe. Hivi hatufiki mbali my friend.

ReplyDelete