Kamera inauzwa hiyo, ni kama mpya vile.
- Aina ni Panasonic Lumix,
- MP 12,
- Ina lens 2 ya LEICA 14mm - 50mm na 140mm - 600mm
- betri 2 na charger,
- Manual na software CD
- 2GB Card
- ina LIVE VIEW pia, na
- Made in Japan
Bei maelewano,
call - 0784 475576
sasa kaka kama bei maelewano inaanzia ngapi ama ni siri/
ReplyDelete