Pages

January 6, 2011

Makamu yu mapumzikoni Serengeti park

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal kulia, akizungumza na Mmiliki Mkuu wa Mahoteli ya Kempinski Bw. Al-Bwardy Ali mwenye Makao yake Nchini Dubai, alipokutana nae leo kwenye Hoteli ya Bilila Lodge Kempinski iliyopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mbuga za Wanyama Serengeti. Makamu wa Rais yupo katika Hifadhi ya Taifa ya Mbuga za Wanyama Serengeti kwa ajili ya mapumziko mafupi.

(picha na VPO.)

No comments:

Post a Comment