Just back from Lindi and Mtwara,Kweli kutembea ni shule kubwa sana, nimeona na kujifunza mengi lakini zaidi ni sanaa ya mawe,Sanamu hii ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni jiwe lililochongwa, hakuna sementi wala kuunga kwa namna yoyote, ni jiwe lenye urefu wa mita tatu na ushee, kazi ya Mzee Zeno wa kijiji cha Mwena, (nitaandika habari na kazi zake zaidi hapa hapa)Kikubwa ni kwamba sanamu hii inauzwa, najua wapo wapenzi wengi wa Mwalimu, kama Mzee Sabodo, nakumbuka alivyokuwa anaangaikia na ile sanamu pale Mwenge, bila wanapenda kuona na pengine kununua sanamu hii,Zaidi ni kuwa mzee huyu anaweza kuchoga sura yako katika jiwe na kubaki na kumbukumbu ya kudumu.Kweli tembea uone.
October 20, 2010
Mwalimu Nyerere for sale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
The Edmark Double Bonus Marketing Plan consists of both the Point Sharing System and the Block System. Thus, giving maximum benefits ...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Porn image ban sparks concern A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extre...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
From Tanzania all the way to South Africa, Norway, Netherlands, Oman, USA and the world people are following Bongo Pix, this is the joy of b...
-
August 13-16th, 2009 in Nairobi, Kenya. Kelele is an annual African bloggers’ conference held in a different African city each year and ru...
No comments:
Post a Comment