Pages

July 9, 2010

Zenji Judgement day, ni Shein, Nahodha au Bilali?

Muda si mrefu kitendawili hiki kitateguliwa baada CC kupitisha majina matatu Makamu wa Rais Dr Mohamed Shein, Waziri Kiongozi Shamsa Nahodha na Waziri Kiongozi Mstaafu Mohamed Bilali ambayo yanajadiliwa na NEC na twaambiwa kuwa zege halilali kwani leo hii hata kama ni usiku wa manane mmoja wa hao atatika mshindi.
Je zitakuwa ni kura za KIITIFAKI? mi sijui lakini kama ndivyo basi ni rahisi kukisia nani ataibuka mshindi, tusubiri muda utatatua yoote haya.

No comments:

Post a Comment