Wadau kunradhi kwa kwikwi ya muda kidogo, nilikuwa ukweni najichana kidogo,
Huku kwetu baada ya kazi wazee ujiburudisha na kitu hicho wakti watoto ama vijana nao wanajaribu ka meno yao yangalipo kwa kupambana na ama miwa, mapera, maperegesi ama aina kwa aina ya matunda yaliojariwa mji huu.
hicho kiburudisho cha hapo juu wala ila hiyo miwa, mapera nk nk duh! imeifanya roho yangu ifanye paaaaa, na mate yadondoke.
ReplyDelete