Halmashauri kuu ya CCM imepitisha jina la Dr Ali Mohamed Shein kuwa mgombea urais visiwani Zanzibar, Dr Shein ambaye ni makamu wa Rais Tanzania amepata kura zaidi ya 100 akifuatiwa na Bilali 54 na Nahodha 34 kulingana na taarifa iliyonukuliwa TBC usiku huu.
No comments:
Post a Comment