Pages

July 10, 2010

Duka Kitonga, Kulikoni?

Imekuwa ni kawaida kwa madereva kufungua duka popote pale alimradi kuna kaitilafu fulani kwenye gari lake kama afanyavyo dereve huyu kule Kitonga, hii mara nyingi imekuwa ni moja ya chanzo cha msongamano ktk barabara nyingi za jiji la Dar.

No comments:

Post a Comment