Wadau nimezama katika dunia ya bilawiya ama wireless na iMAC, yaani hawa jamaa wanaweza kukufanya ujihamishie ofisini ama usahau kwenda home, yaani ka-mouse na keyboard ni wireless na ni kamguso kiduchu kila kitu ni bomba afu hili li-iMAC 10.1 ni 3.06GHZ speed ahh! we wacha tu, ni raha tupu.
No comments:
Post a Comment