Pages

June 3, 2010

Gogo lazuka tena Mjini

Baada ya kuadimika kwa takribani miezi saba hivi bila kuonekana katikati ya JIJI hatimaye leo Gogo limeonekana likivinjali mitaani,
Wakti nasoma enzi hizo huu ulikuwa usafiri wetu mkubwa sana kulekea Kilimanjaro nakumbuka lilikuwa lafunga behewa kama ishirini hivi na linajaza kupita maelezo, leo hii nilionapo na vijibehewa vinne ama vitano hivi inatia huruma.

No comments:

Post a Comment