utakuta kwenye makutano (yawe na taa au la) badala ya busara kutumika kupishana watu wazima kila mtu anajifanya ana haraka matokeo wote mwakutana kati na haraka zoote zaishia hapo.
wakti mwingine ni migari mibovu waweza toka mbezi mpaka Posta njia nzima mwakutana na migari imeharibika na kuwachwa papohapo ama mwakuta mafundi wamefungua boneti wameacha hapo.
Ikinyesha mvua ndo kabisa hakufai hata kidogo yaani kwa kweli kukaa jijjini kwa sasa ni karaha tupu. kifupi hapafai tena. iko siku magari hayatotembea kabisa hapa mujini. hiyo siku yaja na wala haiko mbali.
CIAO.
No comments:
Post a Comment