Pages

June 16, 2010

Nimeipenda hii, sijui nyie mwasemaje!

Japo ni katuni ya muda kidogo toka kwa msanii Said Michael lakini ujumbe wake bado mpya sana, mi nimeipenda bure je wewe?

1 comment:

  1. Very interesting.Mh mpiga kura becomes a boss when Mgombea needs his/hers suport but akipata tu huyoooooooooo anaishia na baada ya miaka mitano comes back with the new message that Kwani mlitaka viatu vya aina gani....teh teh teh number tano, sita ama kumi. Unajua anaanisha nini hapo..... give me another time ili nikuletee viatu vilivyo size yako.
    Ahhhhh hahahahahahahahaa.... mie mbavu sina jamani.
    Joel Mwanga
    +255 752 333 334

    ReplyDelete