Twiga Stars wamefuzu kuelekea bondeni kwa fainali za michuano ya soka kwa wanawake - Africa Women Championship (AWC) baada ya kuwachapa wa-Eritria 3-0, katika mchezo wa kwanza Twiga waliwachapa bila huruma 8 -1.
Hongereni sana kina Dada, ni wakati wa kuwatoa kimasomaso, kazeni buti muje mwaweza kuja na kombe.
lakini hakuna anayewashangilia au hata kuwaongelea mashujaa wetu hawa. tunawaongelea Brazil ambao wanakuja kuleta umasikini katika mechi yao ya kirafiki (kinafiki) na taifa stars
ReplyDelete