Pages

May 4, 2010

TUCTA WASITISHA MGOMO

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) mchana huu imetoa tamko la kuahirisha mgomo uliokuwa umepagwa kufanyika kuanzia kesho ili kusubiri mkutano wa majadiliano tarehe nane ya mwezi huu.
Tamko hilo lililotolewa mbele ya waandishi wa habari limesema sababu za kuahirishwa kwa mgomo huo ni kuruhusu majadiliano ya tarehe nane kama yalivyosemwa na Rais.

No comments:

Post a Comment