February 17, 2010
CHONDE CHONDE WATANI, THIS IS TOO MUCH!!
Habari zilizorushwa toka jana na leo ktk vyombo mbalimbali vya habari kuhusu mauaji ya kutisha ya familia tatu za ukoo mmoja kwa kuchinjwa kama kuku huko Mara zinasikitisha sana.
Hivi mtu au watu na akili zao timamu wanawezaje kutenda unyama kama huo kuua watu 17 pamoja na watoto wanaonyonya katika nyumba tatu na tena bila kuonekana?
Hii inasikitisha sana, kwamba Tanzania sasa imefika mahali watu twauana kama au pengine kuliko hata wanyama?
Enyi watani zangu huko Mara ni nini kimewasibu? ni kisasi gani hicho cha kulipita kwa katoto kachanga kasicho jua chochote duniani humu? Malaika hawa na wazazi na ndugu zao wamewatenda kikubwa kipi kisichoweza kurekebishika mpaka kwa ukali wa upanga?
Huu ni unyama mkubwa kabisa wa enzi zetu ambao twazani tumustaharabika kidogo kuliko vizazi vilivyotangulia, lakini sasa nadhani baadhi yetu na hasa watani zangu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
At least 32 people have been killed in multiple explosions after an accident at a munitions dump in Tanzania's commercial capital, Dar e...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Skandali ya BOT yazidi kuchemka.... NITOKE VIPI?????? BOT SAGA, MEGHJI AJIVUA.......... Meghji: I was duped by governor Ballali -Minist...
-
Edmark International founder, Chief Executive Officer and Chairman. Edmark Tanzania welcomes all entrepreneurs, business people a...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
Habari zilizorushwa toka jana na leo ktk vyombo mbalimbali vya habari kuhusu mauaji ya kutisha ya familia tatu za ukoo mmoja kwa kuchinjwa k...
No comments:
Post a Comment