Pages

May 20, 2009

Bongo mswano tu

Wanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Maendeleo huko Mbagala Kuu karibu na mabomu wakifanya mtihani wa moko leo hii

1 comment:

  1. Kama hali ni hii Dar es Salaam, naogopa kufikiria hali ya shule za mikoani ikoje. Kazi kweli kweli!

    ReplyDelete