Pages

May 21, 2009

NEWS BREAK!!!..... MWAKYEMBE APATA AJALI MBAYA

Habari zilizotufikia muda c mrefu ni kuwa Mbunge wa Kyera Harrison Mwakyembe amepata ajari akiwa jimboni kwake Mkoani Mbeya na yasemekana ameumia vibaya na uenda akaletwa MNH kwa matibabu zaidi.
TUTAENDELEA KUWEPASHA ZAIDI YATAKAYOJILI KADRI TUTAKAPOKUWA TUNAPATA TAARIFA. 
TAARIAFA ZILIZOTUFIKIA NI KUWA NDEGE YA KUKODI TOKA IRINGA IKIWA NA DR MWAKYEMBE ITAWASILI SAA 9:30 

1 comment:

  1. Anonymous6:41 PM GMT+3

    Aliondoka jana Kyela kuelekea Dar. Alilala njiani Makambako, Iringa. Alidamka asubuhi kuendelea na safari. Gari ilianza kukosa mwelekeo mudmfupi bada ya kuondoka Makambako.Ili gonga lorry na gari ni right off.

    Inasemekana watu wasiojulikana walikuwa wakiifuata gari ya mbunge kutoka Kyela. Je gari ilichezewa usiku, pale Makambako? Tairi au matairi yalichomoka katika ajali.

    Inasemekana Mbunge ameanza kupata fahamu. Inasemekana yuko katika hospitalini Dar.

    Wananchi wengi walijitokeza makanisani sehemu mbali mbali za Kyela kumuombea mara baada ya taarifa za ajali kuanza kuenea asubuhi ya leo. Mungu amlinde Mwakyembe.

    Mafisadi inaelekea wamekaa sawa, je wananchi wamekaa sawa katika vita hii?

    Hii si kampeni chafu kabisa. Ajali hii itokee leo alafu CCM itegemee kushinda leo Busanda? Huku ndiyo kukomaa kwa demokrasia na uhuru wa kujieleza? Mie naona mafisadi wamekosa hoja na sasa wameanza kuonyesha nguvu walizonazo maana hoja zimewashinda.

    Mzee wa Sumo wapashe jamaa

    ReplyDelete