Pages

May 19, 2009

Hichi KIJIJI CHA KILEO KI WAPI BONGO??

WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. 
HIKI ni kijiji kipo hapa bongo, Je kuna ajuaye wapi kilipo? ni cha nani au kinafanya nini?
Aka ni kamtihani kidogo yeyote atakayepata zawadi nono itatolewa. 
KAZI KWENU.

14 comments:

  1. Si utani hizi nymba, streets, na kila kitu kiko bomba, bongo yote sasa inatakiwa kuwa hivyo, hata unaweza ukasema unaishi nyumba namba ngapi, nikama mitaa ya enzi za Mwalimu, kabnla watu hawajaanza kuiharibu.I wish nikakae kwenye mojawapo.

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu, wengine tumetoka Bongo mwaka jana tu, lakini hakika sehemu hiyo siitambui.
    Iko chicha sana

    ReplyDelete
  3. hizi nyumba ni south beach resort,kigamboni

    mdau
    andrew

    ReplyDelete
  4. Afadhali mipango miji ifanyike walao watu waweze kujua anwani za kufika pale wanapoelekezwa.
    Sifahamu hapo ni wapi, nasubiria mtu ajibu.

    ReplyDelete
  5. Anonymous8:43 AM GMT+3

    Aaah wapi hapa sio bongo mshikaji wacha kutupiga changa la macho kaka.

    nani anaweza kutoa kitu ka hicha hapa bongo?/

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  7. Anonymous1:54 PM GMT+3

    Hichi kijiji kiko Kigamboni ni mradi wanyumba zinajegwa na kampuni moja hapa dar inaitwa Mutual Developers halafu zinakopeshwa

    ReplyDelete
  8. Pametulia hapa! Sio mitaa ya karibu na Kibaha akujengako Kikwete hapa?

    ReplyDelete
  9. Anonymous1:05 PM GMT+3

    Hizi nyumba zimejengwa na mutual cooperation. Nyumba hizi zipo kule gezaulole kigamboni. Kwa wale msiofahamu nyumba hizi zipo upande wa kushoto kama unatokea kigamboni mita 200 kabla hujafika kijijin(gezaulole). Ni mradi wa nyumba nafuu kwa ajili ya makazi.Nimejaribu kufika hapa kupata taratibu lakini walinzi huwa wanakataza kuingia ndani na kusema nyumba zote zimeshanunuliwa na wanaoruhusiwa ni wenye nyumba tu. Kwa ufupi kigamboni itakuwa bomba sana miaka mitano ijayo mana ukivuka tu ferry kuna mradi mkubwa sana wa kutengeneza mji wa kisasa wenye majengo makubwa, barabara kubwa, rails na usafiri wa maji kwenda maeneo ya masaki, mbezi beach, mapaka maeneo ya white sand kule. Bada tu ya huu mji kutakuwa na mradi wa nssf wa nyumba za makazi. Ukimaliza mradi wa nssf ndo unaigia kwenye hizi nyumba. Na mradi wa nssf ni mkubwa kuliko huu wa kwenye hizi picha. Kigamboni patakuwa sehemu nzuri sana. Ni hayo tu. BON

    ReplyDelete
  10. Anonymous1:07 PM GMT+3

  11. Asanteni wadau wote kwa michango yenu, ila bado sijapata maelezo ya kina juu ya mradi huu na ni nani hasa mmiliki? je ni serikali au mtu binafsi? na utaratibu wake umekaaje? zinapangushwa au zinauzwa? mnunuzi au mpangaji awezaje kupata moja ya hizo?

    Bongo Pix.

    ReplyDelete
  12. Anonymous1:51 PM GMT+3

    Hiki kijiji kiko Bunju barabara ya kwenda Bagamoyo mkoa wa Pwani

    ReplyDelete
  13. Wizi mtupu!! Atakopeshwa nani?

    ReplyDelete