Waziri Mkuu na Mkewe Tunu (wapili kusho) wakishiriki katika kiapo wakati wananchama wapya wa CCM 7,468 katika maadhimosho ya mika 32 tangu kuanzishwa kawa Chama cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Kikombo wilayani Dodoma Mjini Februari 9,2009. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, William Kusila na kushoto ni Katibu wa CCM wa Mkoa wa Dodoma,Capt Mstaafu, John Marongo.
No comments:
Post a Comment