Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete(Wanne kushoto) akiongoza matembezi ya mshikamano katika sherehe kuadhimisha miaka 32 ya kuzaliwa kwa chama Cha Mapinduzi CCM, yaliyofanyika huko mjini Shinyanga leo asubuhi.Wengine katika picha kutoka kushoto Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba,Makamu Mwenyekiti CCM Bara mstaafu Mzee John Malecela,makamu Mwenyekiti CCM Bara Pius Msekwa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete,Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Bwana Khamis Mgeja.
No comments:
Post a Comment